Siku ya afya duniani: Raia wahimizwa kutilia maanani afya yao

  • | KBC Video
    9 views

    Gavana wa Garissa, Nathif Jama amewataka wakazi wa kaunti hiyo kutilia maanani hali yao ya afya hususan wakati huu wa maadhimisho ya siku ya afya duniani. Akiongeea katika eneo la Bula Argi, gavana Jama alikariri haja ya kuhakikisha afya ya mifugo ili kuzuia maambukizi ya maradhi kutoka kwa mifugo hadi binadamu. Kwa mujibu wa shirika la afya duniani-WHO, mpango wa afya jumuishi ni mbinu muhimu ya kudumisha afya ya binadamu, mifugo na kutunza bio-anuwai.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive