Siku ya Dunia ya Bipolar: Kuangazia Uelewa, Kusaidia waathirika, na Kupunguza Unyanyapaa

  • | K24 Video
    174 views

    Leo, katika siku ya dunia ya kuadhimisha ugonjwa wa bipolar unaoathiri afya ya akili, tunaangazia kwa kina ugonjwa huo unaowaathiri zaidi ya watu milioni 40 kote ulimwenguni. Ugonjwa wa bipolar ni hali inayosababisha mabadiliko makubwa ya hisia, kutoka hali ya juu na hali ya chini inayopelekea msongo wa mawazo. watu wengi nchini wanapata changamoto kubwa katika kudhibiti hali hiyo.