Siku ya furaha duniani: Kiraitu asema uamuzi ni wako

  • | KBC Video
    24 views

    Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Meru Kiraitu Murungi, ambaye sasa ni afisa mkuu wa chama cha kuhimiza watu kuwa na furaha humu nchini anawahimiza wananchi kuwa na mtazamo chanya maishani mwao.Akiongea kwenye hafla wa kusherehekea siku ya furaha duniani, Kiraitu alisema kwamba licha ya hali ngumu ya kiuchumi Wakenya wako katika mkondo bora ikilinganishwa na siku za awali hasa uhuru wa kujieleza. Aliongeza kuwa furaha ni chaguo la mtu kwani unaweza kuwa na kila kitu lakini ukakosa furaha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive