Siku ya Redio Duniani I Wafanyakazi wa KBC waandaa sherehe murua

  • | KBC Video
    11 views

    Miito ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga ilipewa kipaumbele wakati wa sherehe ya mwaka huu ya siku ya redio ulimwenguni katika shirika la utangazaji la KBC. Chini ya uongozi wa mkurugenzi mkuu Agnes Kalekye, vituo 13 vya redio vya shirika hili vilijiunga na ulimwengu kuadhimisha siku hii ambayo kauli mbiyu yake ilikuwa ‘Redio na mabadiliko ya hali ya anga’.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive