Siku ya Walemavu: Wazazi wataka hatua za haraka kuondoa vizuizi kwa walemavu

  • | NTV Video
    52 views

    Ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walemavu, wazazi na walezi wa watoto wenye ulemavu wanataka hatua za haraka zichukuliwe kuondoa vizuizi ambavyo watu wenye ulemavu wanaendelea kukumbana navyo nchini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya