'Sitaacha kulima ufuta labda niwe na matatizo'

  • | BBC Swahili
    0 views
    Tanzania imeendelea kuwa moja ya nchi 10 bora duniani kwa uzalishaji wa ufuta na ya tatu Afrika kwa muongo mmoja uliopita. Ikizalisha zaidi ya tani 600,000 kwa mwaka, inajivunia mbegu zake za asili zilizobuniwa na wataalamu wazawa ikiwemo Lindi 2002. Lakini kwa namna gani zao hili limebadilisha maisha ya wakulima? Mwandishi wa BBC Yusuph Mazimu ameandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #lindi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw