Soko La Maralal Samburu

  • | Citizen TV
    177 views

    Mipangilio ya kuzindua soko jipya la manispaa ya mji wa Maralal yamekamilika. Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki akitarajiwa kuzindua soko hilo mapema leo.