Soko la Parachichi Nyamira

  • | Citizen TV
    310 views

    Wakulima kaunti ya Nyamira wamehimizwa kukumbatia kilimo cha parachichi aina ya Hass, kama njia moja ya kuimarisha mapato ya kifedha na kuimarisha viwango vya chakula nchini.