Somo la Hisabati litaendelea kuwa la lazima katika shule za upili

  • | KBC Video
    9 views

    Somo la Hisabati litakuwa la lazima katika shule za upili humu nchini kuanzia mwakani. Waziri wa elimu Julius Ogamba amethibitisha kuwa kufuatia mashauriano miongoni mwa wadau, wizara ya elimu imefutilia mbali uamuzi wa awali kwamba somo hilo halitakuwa la lazima kwa wanafunzi watakaojiunga na shule za upili. Waziri aliyasema hayo jijini Nairobi wakati wa kongamano la kitaifa kuhusu mtaala wa umilisi-CBC.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive