Sonko akabiliwa na kesi ya ufisadi ya shilingi milioni 20

  • | KBC Video
    183 views

    Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko atalazimika kujitetea kuhusu kesi ya ufisadi ya shilingi Milioni 20 inayohusisha utoaji zabuni. Hakimu wa mahakama ya ufisadi Charles Ondieki, alisema Sonko ana kesi ya kujibu kuhusu mashtaka saba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive