Spika Wa Bunge La Kitaifa Moses Wetang’ula Atoa Hakikisho Kwamba Nani Atagharamia Wabunge Kwenda AUC

  • | TV 47
    243 views

    Spika Wa Bunge La Kitaifa Moses Wetang’ula Atoa Hakikisho Kwamba Nani Atagharamia Wabunge Kwenda AUC

    Spika Wa Bunge La Kitaifa Moses Wetang’ula amesema amepokea maombi ya wabunge 40 ambao wana nia ya kusafiri kuelekea Addis Ababa nchini Uhabeshi tayari kwa uchaguzi wa uwenyekiti wa AUC. Nani atagharamia?

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __