Stephen Isaboke atetea uhuru wa wanahabari

  • | Citizen TV
    135 views

    Katibu mteule katika wizara ya teknolojia na mawasiliano stephen isaboke ametetea uhuru wa wanahabari akisema kuwa uhuru huo umelindwa kikatiba na serikali haina budi kuheshimu uhuru huo. akihojiwa na kamati ya bunge kuhusu habari na mawasiliano, isaboke apia ameratibu mabadiliko anayotizamia kufanyaia kitu cha habari cha kitaifa kbc , kando na kusisitiza kuwa hakutakuwa na mkinzano wa maslahi kutokana na hisa zake kwneye kampuni ya go tv iwapo ataidhinishwa kuchukua nafasi hiyo. Isaboke amefichua kuwa ana mali ya thamani ya shilingi milioni 680.