Steve Munyakho hatimaye atarejea nyumbani hivi karibuni

  • | KBC Video
    16 views

    Maandalizi yanaendelea kuhusu kuachiliwa kwa Stephen Munyakho , mwanamme mkenya aliyekabiliwa na hukumu ya kunyongwa nchini Saudi Arabia kufuatia kulipwa kwa shilingi milioni- 129 zilizohitajika ili aachiliwe huru na kusamehewa kunyongwa. Ikizungumza leo jijini Nairobi, kamati ya kampeni ya kumrejesha Steve humu nchini na familia yake waliashiria kwamba huenda Munyakho akarejea nchini baada ya kukamilika kwa Ramadan.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive