Suluhu ya mzozo kati ya jamii za Kajiado na Taita yapatikana

  • | Citizen TV
    233 views

    Ni afueni kwa zaidi ya wafugaji 3000 kutoka jamii ya maa kwenye mpaka wa kaunti ya Kajiado na Taita-Taveta baada ya viongozi wa kajiado na asasi za usalama kutoa mwelekeo thabiti dhidi ya mzozo wa ugavi wa ardhi ya rombo yenye ekari zaidi ya 25,000.