Sulwe FM na kampuni ya Naitiri Sugar zasajili wakulima wa miwa

  • | Citizen TV
    125 views

    Sulwe FM kwa ushirikiano na kampuni ya Naitiri Sugar wamekamilisha awamu ya kwanza ya kuwasajili wakulima wa miwa katika kaunti ya bungoma. Zoezi hilo lililenga kuwasajili wakulima elfu thelathini . Hii leo zaidi ya wakulima 600 wa miwa walijisajili katika eneo la mailo, webuye magharibi kwenye kampeni hiyo ya pamoja. Naitiri sugar, inaendelea kuwasajili wakulima wapya bungoma ambapo kufikia sasa, maeneo bunge matano yalimesishwa kikamilifu