Sulwe FM yashirikiana na kampuni ya Naitiri Sugar kuwasajili

  • | Citizen TV
    67 views

    Kituo cha redio cha sulwe FM mojawapo ya radio zinazomilikiwa na kampuni ya royal media services, Kwa ushirikiano na kampuni ya sukari ya naitiri inayomilikiwa na kampuni ya west Kenya sugar, waliandaa hafla ya kuwasajili wakulima wa miwa maeneo ya bokoli webuye magharibi.