Super Metro Yakaidi Marufuku Ya NTSA Na Yaendelea Kubeba Abiria

  • | TV 47
    268 views

    Super Metro Yakaidi Marufuku Ya NTSA Na Yaendelea Kubeba Abiria

    Kampuni ya magari ya uchukuzi wa umma ya Super Metro iliendelea na shughuli zake mchana wa leo licha ya mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani (NTSA) kufutilia mbali leseni ya kuhudumu kwa kutokufuata kanuni za magari ya huduma ya umma.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __