Swara 17 aina ya Mountain Bongo warejeshwa nchini

  • | KBC Video
    387 views

    Kenya imekabidhiwa swara 17 wanaojulikana kama Mountain Bongo, ambao ni kizazi cha tatu cha aina hiyo ya swara walio katika hatari ya kuangamia na ambao walihamishwa kutoka humu nchini mnamo miaka ya sitini hadi Marekani. Waziri wa utalii na wanyamapori Rebecca Miano amesema swara hao watatangamanishwa na mfumo wa ikolojia wa taifa hili ambapo wanaweza kuzaana na kuongeza idadi yao. Taarifa kamili ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News