Taarifa mseto kutoka magatuzini

  • | KBC Video
    36 views

    Kamati ya msikiti wa Pumwani Riyadha imeibua wasiwasi kuhusiana na kuhofishwa na mipango ya kutumia vibaya mali ya msikiti huo na kundi la vijana wanaojiita Al Hikma. Kulingana na kamati hiyo ardhi inayozua utata iko mkabala na msikiti wa Pumwani na inamilikiwa na kamati ya msikiti wa Pumwani Riadha kufuatia mkataba wa ukodishaji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive