Taasisi ya TVET kushirikiana na wakfu wa Ujerumani

  • | Citizen TV
    109 views

    Taasisi za mafunzo ya ufundi TVETS nchini zinapanga kushirikiana na wakfu mmoja kutoka ujerumani ili kuboresha elimu ya teknolojia ya tarakilishi kwa wanafunzi