Taharuki Chesegon na Cheptulel baada ya askari wa akiba kuuawa

  • | NTV Video
    165 views

    Hali ya taharuki imetanda kwenye maeneo ya Chesegon na Cheptulel kwenye mpaka wa kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet baada ya askari wa akiba kuuawa kufuatia mashambulizi mapya baada ya miezi minane ya utulivu kwenye eneo hilo lenye utata la bonde la Kerio huku mpango wakazi kurejea kwenye makazi yao ukiathirika.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya