Takataka za Baharini zahatarisha Uhai wa Sili wa Namibia

  • | VOA Swahili
    54 views
    Takataka za plastiki, mishipi ya uvuvi na kugundulika kwa mafuta hivi karibuni imewaweka idadi kubwa ya Sili hatarini, lakini mamlaka inasema hatari hizo zinaweza kudhibitiwa kabla ya hali hiyo kuwa haizuiliki. Huu ni msimu wa samaki aina ya Sili wa Nambia kuzaliana, Lakini uchafu wa baharini na uchafuzi wa hali ya hewa vinatishia uhai wa mamilioni ya Sili na viumbe wengine wa baharini ambao wanaishi katika eneo hili. #Namibia #oceans #oceanwaste #seals #walvisbay #pollution #voa