Takrribani mwanawake 1 katika 7 wanaathiriwa na kuvuja damu kupita kiasi wakati wa hedhi

  • | K24 Video
    37 views

    Takrribani mwanawake 1 katika 7 wanaathiriwa na kuvuja damu kupita kiasi wakati wa hedhi. licha ya kuwaathiri wengi, idadi kubwa huteseka kimya kimya japo kwa uchungu mwingi. Endometriosis inaweza kuathiri viungo vingi mwilini kando na afya ya uzazi, na kumacha mwanamke katika maumivu makubwa.