Tanui : Mambo Mbotela alikuwa mzalendo, vijana wa sasa waige mfano wake

  • | KBC Video
    10 views

    RADIO NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

    Eng. John Tanui : Tunaungana na familia ya mwendazake Leonard Mambo Mbotela kusema pole kumpoteza mpendwa wenu. Tumejifunza mengi kutoka kwa marehemu, alijitolea kabisa na alikuwa mzalendo, vijana wa sasa waige mfano wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive