Taswira ya changamoto tofauti wanazozipitia wanawake waliofiwa na waume zao

  • | K24 Video
    327 views

    Ni huzuni kubwa kumpoteza mme lakini ni uchungu zaidi kukosa mlo kwa watoto wachanga ambao kwa kiasi kikubwa wanamtegemea mama yao mjane ambaye pia alimtegemea mwendazake kipenzi cha roho yake. Taswira ya changamoto tofauti wanazozipitia wanawake waliofiwa na waume zao zikiwemo umaskini, kudhalilishwa na kutengwa katika jamii.