Tazama dereva hwa gari alivyoponea chupuchupu kugongwa na treni

  • | BBC Swahili
    2,617 views
    Video iliyotolewa na Mamlaka ya Usafiri ya Utah nchini Marekani inaonesha jinsi dereva wa gari alivyonusurika na ajali ya treni baada ya gari la dereva huyu kukwama mbele ya kizuizi cha njia ya treni huku treni ikija kwa kasi. Dereva alitoka kwenye gari sekunde chache kabla ya treni kugonga gari yake #bbcswahili #marekani #ajaliyatreni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw