Tazama jinsi ndege ya kivita ya Marekani ilivyoanguka

  • | BBC Swahili
    3,998 views
    Video hii inaonesha wakati ndege ya kivita ya Marekani ilipoanguka San Diego huko California. Marubani wawili wa Jeshi la Wanamaji wa Marekani waliokuwa ndani ya ndege hiyo walitoka salama baada ya kuchomoka kabla ya ndege hiyo kuanguka. Waliokolewa na mashua ya wavuvi iliyokuwa karibu na kupelekwa hospitalini. Chanzo cha ajali hiyo kinachunguzwa. #bbcswahili #marekani #ajaliyandege Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw