Tazama mapacha walioungana na kupewa siku chache za kuishi

  • | BBC Swahili
    504 views
    Pacha wawili walioungana wamesherehekea siku yao ya kuzaliwa kutimiza miaka saba, ingawa madaktari walisema kwamba wanaweza kuishi siku chache tu baada ya kuzaliwa. Marieme na Ndeye walifika Uingereza kutoka Senegal mwaka 2017 ili kupata matibabu katika Hospitali ya Great Ormond Street. Vipimo katika hospitali ya London viligundua kuwa moyo wa Marieme ulikuwa dhaifu sana kwa pacha hao kutenganishwa, na hasingeweza kunusurika upasuaji. Kwa sasa wanasoma shule ya kawaida kusini mwa Wales. #bbcswahili #senegal #uingereza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw