Teknolojia ya Sarafu inavyosaidia jamii kupata maji

  • | BBC Swahili
    591 views
    Nchini Tanzania, kijana Abdulkarim Maadhi, amebuni mfumo wa maji anaouita ‘Sarafu ya maji’ unaosaidia jamii za kitanzania kupata maji kwa njia rahisi na kwa gharama yoyote ile. - Mfumo huo hauhitaji mtu kufungua maji na kufunga, unahitaji sarafu tu ili uweze kufanya kazi. - Sarafu hutumbukizwa kwenye kisanduku kisha maji yanatoka yenyewe ya kiasi kinachohitajika kisha Bomba linajifunga. - Mwandishi wa BBC @elizabethkazibure, amekutana naye na kuandaa taarifa ifuatayo. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw