Teresia Wanjohi na Jesca Chelule washinda ksh.50,000 kila mmoja

  • | Citizen TV
    202 views

    Teresia Wanjohi kutoka eneo la Mathira Kaunti ya Nyeri na Jesca Chelule kutoka Kaunti ya Bomet ndio washindi wa hivi punde wa Skiza Chapaa waliojinyakulia shilingi 50,000 kila mmoja.