Timu ya Junior Starlets yamaliza ya Tatu kundini C katika Kombe la Dunia

  • | NTV Video
    19 views

    Timu ya taifa ya kinadada walio chini ya umri wa miaka 17 Junior Starlets ilimaliza ya tatu kundini C katika Kombe la Dunia ambalo ilishiriki kwa mara kwanza katika historia na kushinda mechi moja . Mwanahabari wetu Toto Arege yuko Jamhuri ya Domika na sasa anaarifu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya