Timu ya Nabore ilishinda Kombe la Gavana Samburu

  • | Citizen TV
    329 views

    Timu ya Nabore FC wameibuka mabingwa wa Kombe la Gavana wa Kaunti ya Samburu baada ya kuicharaza Samburu Stars mabao manne kwa sufuri kwenye fainali ya michuano hiyo