Timu ya Taifa Harambee Stars yajiandaa kwa michuano ya kufuzu Dimba la Dunia

  • | TV 47
    16 views

    Timu ya Taifa Harambee Stars yajiandaa.

    Harambee Stars inajiandalia michuanao ya kufuzu Dimba la Dunia.

    Harambee Stars kuchuana na Gambia Tarehe 20 ugani.

    Harambee Stars kuchuana na Gabon Tarehe 24 ugani Nyayo.

    Kenya iko katika nafasi ya 4 kundi F kwa alama 5.

    Kenya, Burundi, Cameroon, Gabon na Gambia ziko kundi F.

    Cameroon inaongoza Kundi F na alama 10.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __