Timu ya taifa ya soka ya vijana chini ya miaka 20 yaimarisha mazoezi

  • | Citizen TV
    227 views

    Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 the Rising Stars haitabadilisha utaratibu wa mazoezi yao na bado inanuia kupiga kambi nchini morocco kwa siku kumi licha ya kuwekwa katika kundi moja la kombe la mataifa ya Afrika chini ya miaka 20 itakayochezwa nchini Misri.