Timu ya Voliboli ya kina dada KCB yapambana na KDF katika Kombe la Kenya

  • | NTV Video
    76 views

    Timu ya Voliboli ya kina dada KCB iko tayari kuchuana na Kenya Defence Forces (KDF) katika awamu ya kwanza ya mchuano wa kombe la Kenya itakayo ng’oa nanga kesho katika uga wa Nyayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya