Timu ya voliboli ya walemavu waitaka serikali ya Bumgoma kuwajibika baada ya kukosa ufadhili

  • | NTV Video
    100 views

    Timu ya voliboli ya walemavu ya kaunti ya Bungoma imeelezea masikitiko yao baada ya kukosa kusafiri kuja jijini Nairobi kushiriki mchujo wa kuteua timu ambayo itashiriki mashindano ya Afrika nchini Ghana.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya