Timu yapokea bendera kutoka kwa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    603 views

    Timu ya taifa ya mpira wa kandanda ya wachezaji wa chini ya miaka 20, The Rising Stars, imepokea rasmi bendera ya Kenya kutoka kwa Rais William Ruto katika Ikulu ya Nairobi.