Timu za Taifa za Raga ya wachezaji saba kila upande Shujaa na Lionesses zatua Los Angeles

  • | TV 47
    11 views

    Timu za Taifa za Raga ya wachezaji saba kila upande zatua Los Angeles.

    Shujaa na Lionesses wanajiandalia msururu wa mchujo wa HSBC.

    Shujaa walimaliza katika nafasi ya tisa kwenye msururu wa HSBC.

    Kenya Lionesses walitawala mkondo wa Cape Town na Krakow.

    Kenya Shujaa kuchuana na Samoa tarehe tatu Portugal na USA tarehe 4 mwezi Mei.

    Kenya Lionesse kuchuana na Brazil, Colombia na Spain.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __