Tishio La Malaria Kilifi

  • | Citizen TV
    28 views

    Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha takriban watu 84 kati ya 1000 wanaugua ugonjwa wa malaria ikilinganishwa na 112 mwaka wa 2016. Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili wa USAID katika sekta ya afya.Dunia inaposherehekea Siku ya Malaria Duniani.Katibu wa Huduma za Afya na Viwango vya Kitaalamu, Mary Muthoni, sasa anatoa wito kwa juhudi za pamoja zinazojumuisha uwekezaji zaidi katika afya ili kutorudisha nyuma mafanikio yaliyopatikana hadi sasa.