- 571 viewsDuration: 1:50Sophie Mkwachu: Sisi watu wa Pwani tunapenda sana amani. Kuongezeka kwa wizi kunatokana zaidi na umaskini na ukosefu wa pesa. Watu kutoka maeneo mengine wamekuwa wakituibia, na tunaiomba serikali iwasaidie vijana kwa nafasi za kazi. Hali inazidi kuwa ngumu sana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News #AmaniKwaGround #ncic