- 20 viewsKatika miezi ya hivi karibuni, Biden amejaribu kurekebisha muonekano wake usiopendeza kwa umma katika kushughulikia suala la uhamiaji, kwanza kwa kuidhinisha pendekezo la Baraza la Seneti la vyama vyote viwili likiwa na baadhi ya masharti magumu katika kumbukumbu za karibuni na baadae, baada ya sheria ile kuvunjika, akichukua hatua za kiutendaji kuwadhibiti wahamiaji wanaoomba hifadhi upande wa kusini wa mpaka. Lakini wakati Biden akijaribu kuhamasisha mafanikio aliyofikia, hasa kupungua kwa asilimia 40 ya idadi ya uvukaji kinyume cha sheria tangu agizo lake la mpaka kutekelezwa mwezi huu, Trump alieleza machachari ya kisiasa yakieleza ni kiza na balaa kuonyesha hali ya mpakani iliyovurugika chini ya uangalizi wa Biden. Kwa mfano, Trump alitoa hoja kuwa wahamiaji wanaowasili kwenye mpaka wa Marekani wamekuja kutoka “hospitali za magonjwa ya akili” na “waomba hifadhi wendawazimu” – ambapo hajaweza kutoa ushahidi wowote. Pia alidai mpaka wa Marekani – Mexico (AP). #trump #biden #voa
Trump na Biden wakosoana kuhusu suala la uhamiaji https://www.cnn.com/
- 23 Apr 2025 - Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
- 23 Apr 2025 - Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
- 23 Apr 2025 - Pope Francis' funeral will be held on Saturday in St. Peter's Square, Roman Catholic cardinals decided on Tuesday, setting the stage for a solemn ceremony that will draw leaders from around the world.
- 23 Apr 2025 - MPs launch probe into kidney trade claims
- 23 Apr 2025 - The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
- 23 Apr 2025 - Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
- 23 Apr 2025 - Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
- 23 Apr 2025 - Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
- 23 Apr 2025 - Nepal's digital finance and lessons from our mobile money revolution
- 23 Apr 2025 - Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis