TSC YASEMA BIMA YA SHA ILISHINDWA KUWAHUDUMIA WALIMU

  • | K24 Video
    45 views

    Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) imesema kuwa Bima ya SHA ilishindwa kutoa huduma za afya kwa walimu, baada ya matatizo yaliyojitokeza chini ya bima ya awali ya Minet. Afisa Mkuu Mtendaji Nancy Macharia alieleza hayo mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Elimu, kufuatia maswali kuhusu kwa nini walimu bado wanahangaika kupata huduma licha ya makato ya mishahara.