Tshisekedi asema jamii ya kimataifa imeitelekeza DRC

  • | BBC Swahili
    5,641 views
    Rais wa DRC Felix Tshisekedi amesema mauaji ya kimbari yanafanyika mashariki mwa nchi hiyo na kuilaumu jamii ya kimataifa kwa kile anachotaja kama kupuuza vifo vya mamilioni ya raia wa Congo. Tshisekedi alikuwa akizungumza wakati wa mazungumzo ya ndani ya kuleta amani nchini humo. Amesema zaidi ya watu milioni 10 wameuawa katika vita tangu miaka ya tisini.