Tumbaku yategemewa kuboresha uchumi unaoyumba Zimbabwe

  • | VOA Swahili
    51 views
    Maafisa nchini Zimbawe – mzalishaji mkubwa sana wa tumbaku barani Afrika – ina matumaini kuwa mazao ya mwaka huu yataboresha uchumi wa nchi uliotetereka. Hata hivyo, mahitaji hayako juu mno kama ilivyokuwa siku za nyuma, na wito unaongezeka kwa Zimbabwe kuachana na tumbaku kwasababu ya wasi wasi wa usalama. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.