KHRC wapinga ufisadi na ukandamizaji wa serikali na kuchochea utawala wa kidemokrasia nchini

  • | NTV Video
    78 views

    Tume ya haki za kibinadamu KHRC imetoa kauli yao kuelekea maadhimisho ya sabasaba, vuguvugu lililoanzishwa miaka ya 1990 kupinga ufisadi na ukandamizaji wa serikali na kuchochea utawala wa kidemokrasia nchini kenya. Wakitaja ugumu wa maisha kama mzigo mkugwa kwa taifa wakati huu. tuwasikilize.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya