Tume ya ardhi kufanya utafiti wa matumizi ya ardhi

  • | Citizen TV
    156 views

    Tume ya kitaifa ya ardhi imesema kuna haja ya kufanya utafiti ili kubaini matumizi ya ardhi ,umiliki, pamoja na kutatua mizozo ya makazi katika kaunti ya Kilifi.