Shirika WRAI lahamasisha umma kuhusu kulinda haki za wanawake

  • | Citizen TV
    68 views

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya (KNCHR) ishirikiana na Shirika lislio la serikali la Women Rights Advocacy Initiative waliandaa kongamano la uhamasishaji wa jamii kuhusu ukatili wa kijinsia katika mji wa Wara kaunti ya Wajir