Tume ya KNHCR yadai watu 26 wametekwa nyara na polisi

  • | KBC Video
    71 views

    Yamkini watu 26 bado hawajulikani walipo huku ikidaiwa walitekwa nyara na maafisa wa usalama. Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu ililiambia bunge kuwa zipo ishara kudhihirisha kuwa utekaji nyara huo ulitekelezwa na maafisa wa polisi kinyume cha sheria. Tume hiyo sasa inataka bunge kuwaadhibu waziri wa usalama wa taifa na inspekta jenerali wa polisi kwa ukiukaji wa haki za binadamu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive