Tume ya Ombudsman kuishinikiza wizara ya afya kutatua changamoto za SHA

  • | KBC Video
    65 views

    Tume ya utekelezaji haki imeahidi kushinikiza wizara ya afya kushughulikia changamoto zinazokabili utekelezaji hazina ya bima ya afya ya umma unao-ongozwa na halmashauri ya afya ya jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive