"Tumeangalia CV nyingi, tukaona yako tunaweza kuipeleka kwenye ushindani WHO"

  • | BBC Swahili
    2,627 views
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuna mpango wa kupeleka wasifu wa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Mohamed Janabi kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya duniani kanda ya Afrika baada ya mkurugenzi mteule wa kanda hiyo Faustine Ndugulile kufariki dunia. #bbcswahili #tanzania #who Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw